Madhara ya Azimio la Zanzibar ndiyo hayo hapo juu. Azimio la Arusha lilipokataza watumishi wa umma kutoa huduma binafsi kwa umma liliona mbali. Pengine unabii huu unaanza kutimia:


” But I still think that in the end Tanzania will return to the values and basic principles of the Arusha Declaration (Lakini bado ninadhani mwisho wa siku Tanzania itarejea kwenye maadili na misingi ya Azimio la Arusha” – Mwalimu Julius K. Nyerere