Ndugu, Jamaa na Rafiki wa Maarifa, Usomaji na Maendeleo tunapenda kukukaribisha kwenye Uzinduzi wa Diwani ya Mageuzi ya Mashairi ya Prof. Kulikoyela. K. Kahigi.

Dear Esteemed Friend of SOMA, noticing your devotion and passion for knowledge and development, Soma would like to invite you to the launch of a book – POETRY ANTHOLOGY – by Prof. Kulikoyela Kahigi.


Uzinduzi utafanyika siku ya Jumamosi – 14/11/2015, nao uzinduzi utafanyikia MKAHAWA WA VITABU – SOMA BOOK CAFE, 53 Mlingotini Close,Regent Estate.

The launching shall be held and hosted at Soma Book Cafe, 53 Mlingotini Close, Regent Estate on Saturday – 14/11/2015.


Shughuli itaanza saa 9:00 alasiri mpaka saa 10:30 jioni. Uzinduzi utakolezwa na Utambaji/ Ughani wa Mashairi kutoka katika Diwani itakayozinduliwa.

The event shall commence at 1500hrs – 1630hrs. The event shall include the recital of some of the poems in the anthology.


Kwa mawasiliano zaidi

Mulokozi: 0756-795674

Jasper: 0712-568699


Karibu na Asante. 

ADDRESS: Mlingotini Close, Plot Number 53 Regent Street – Mikocheni A, Dar es Salaam

DIRECTIONS: Soma Book Cafe’s Google Map

PHONE: 0673014071

WEBSITE: http://www.somabookcafe.com/

FACEBOOK: https://www.facebook.com/groups/365507850907/

TWITTER: https://twitter.com/SomaMkahawani