Hatimaye kitabu cha Profesa Seithy L. Chachage kuhusu ‘Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania’ kimetoka. Ni mkusanyiko wa makala na mada mbalimbali alizoziandika kwa lugha yetu ya Kiswahili.
Kitabu kinapatikana Mkahawa wa Vitabu Soma (Soma Book Cafe) kwa Tsh. 24,000. Wanazuoni mliopo karibu na maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – i.e. Savei, Sinza Mpakani, Mlimani City n.k. – mnaohitaji kufikishiwa kitabu hicho mahali mlipo kwa gharama ya Tsh 25,000 tu wawasiliane moja kwa moja na chambi78@yahoo.com.