Hatimaye kile kitabu kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu sana na Wanazuoni kimewasili kwenye Mkahawa wa Vitabu Soma (Tazama ramani hapo chini kabisa).
Ingawa bei yake ni Shilingi 51,000/= kwa nakala 100 za mwanzo Soma Book Cafe itakiuza kwa Shilingi 42,000/= kwa oda za nakala 5 na kuendelea na Shilingi 45,000/= kwa oda za nakala moja moja.
Washapishaji – Crossroads – pia watafurahi kuona Wanazuoni wakijitokeza kukichambua/kukihakiki.
