Hii ni sehemu ya kwanza ya mjadala wa Madokta Wanasaikolojia uliofanyika Jumamosi ya tarehe 9 Mei 2020 na kuratibiwa na Dokta Frank Minja, rejea:

Changamoto za Mahusiano katika Familia na Jamii: Janga la COVID-19

DICOTA na TUHEDA tuliendelea na majadiliano yetu kuhusu janga la Covid-19.

Sikiliza hapa: https://bit.ly/2WiKnZ2

Watoa Maada:

Dr. Donald Mlewa (CPsychol) – Wales, UK

Mr. Isaac Lema (Clinical Pyschologist) – Dar es Salaam, Tanzania

Dr. Lusajo Kajula, PhD (Psychology) – Dar es Salaam, Tanzania

Zawadi Sakapalla-Ukondwa, MBA – #DhibitiMlipuko Campaign Updates

Muongoza Mjadala: Dr. Frank Minja – Connecticut, USA