“Compromise ya serikali tatu, katika mazingira haya, ni njia pekee iliyobaki ya kuwa na Muungano, hata kama ni muundo dhaifu na legelege kama anavyolalamika Profesa Shivji!’ – Tundu Lissu & MAONI YA WAJUMBE WALIO WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum, 2014]