Mwalimu Mkuu na Bodi ya Shule ya Sekondari St. Mary’s Mazinde Juu, (Lushoto) wanawakaribisha kwenye Harambee ya kuchangia Maendeleo ya shule hiyo. Shughuli hiyo itafanyika Februari 8, mwaka huukuanzia saa 04.00 asubuhi, Msimbazi Centre, Dar es Salaam.  Kwa maelezo zaidi wasiliana 0754 280 298 na 0713 548 813 Wanafunzi mliosoma St. Mary’s Mazinde Juu: Mkisikia/kusoma tangazo hili wajulisheni na wengine.

Shiriki kuleta maendeleo ya elimu Tanzania!