“Profesa Mohamed A. Mohamed, alifariki Ijumaa wiki iliyopita na kuzikwa Jumamosi katika eneo la Mkunazini kwao Zanzibar. Alishirikiana na Said A Mohamed kuandika Kamusi ya Visawe” – http://www.swahilihub.com/habari/MAKALA/-/1310220/1534440/-/o904o2/-/index.html