Halima J MdeeHalima J Mdee @halimamdee

I insist she is a juvenile! Only 17 ,nimeona cheti cha kuzaliwa. Kuna mengi mazito nyuma ya pazia! Yule binti ana majeraha!

1hHalima J MdeeHalima J Mdee@halimamdee

Kwa yeyote anayeguswa,naomba atume chochote kwenye namba hii 0754878890 ni namba ya m pesa ya mama yake Tumsaidie huyu mtoto!

1hHalima J MdeeHalima J Mdee@halimamdee

Nne,at that tender age ndio alikuwa anategemewa na familia yake. Now yuko ndani matatizo yamezidi kuwa makubwa.

1hHalima J MdeeHalima J Mdee@halimamdee

Tatu anahitaji wanasheria makini wa kumsaidia. Kwa yeyote ambaye yuko tayari naomba awasiliane nami 0759569823..

1hHalima J MdeeHalima J Mdee@halimamdee

Pili anahitaji sana psychological support. Nawaomba watu wenye taaluma hiyo wasisite kwenda kumuona. wasiliana na 0714282527steve nyerere.

1hHalima J MdeeHalima J Mdee@halimamdee

Watz wenzangu. Leo mimi na mhe. Bulaya tulikwenda kumuona Lulu oysterbay polisi. She really needs our support. Kwanza she is only 17..

http://www.wavuti.com/4/post/2012/04/je-ni-nani-anayemfariji-binti-huyu-18-aliyeondokewa-na-mpenziwe.html#axzz1rMiH76Vn