YALIYOMO
Orodha ya vifupisho……………………………………………………………………………………….. 5
Utangulizi wa Mwandishi: Simulizi za Mapambano ya Ukombozi wa Wanyonge….. 8
Utangulizi wa Mhariri: Mwelekeo Wa Mapambano Ya Wanyonge…………………….. 11
SEHEMU YA KWANZA
UCHUMI WA TAIFA NA RASILIMALI ZA UMMA
Ujenzi Wa Uchumi Wa Kitaifa………………………………………………………………………… 25
Mijadala Kuhusu Misingi Ya Mfumo Wa Umilikaji Ardhi Vijijini………………………… 49
Upanuzi Wa Miji Na Haki Za Ardhi Za Wenyeji…………………………………………………. 59
Dhana Za Msingi Katika Mfumo Wa Umilikaji Ardhi………………………………………… 63
Ubinafsishaji Na Ugenishaji Wa Ardhi: Je, Ni Ukombozi Wa Wanyonge Au Unyonge Wa Wakombozi? 73
Ardhi Kuwa Bidhaa: Kujitokeza Dhahiri Kwa Tabaka La Kuwanyonya Wakulima Na Wafugaji 80
Mapambano Ya Umma Na Maendeleao Ya Jamii:…………………………………………….. 83
Masimulizi Ya Wazalishaji, Wawekezaji, Wafadhili, Wasomi Na Wana-’Ngo’…….. 83
SEHEMU YA PILI
MEDANI YA USHIRIKISHWAJI
DEMOKRASIA, KATIBA NA MUUNGANO
Haki Na Wajibu Wa Raia Katika Demokrasia………………………………………………….. 90
Mambo Muhimu Katika Katiba Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, 1977.. 108
Changamaoto Za Demokrasia Shirikishi………………………………………………………. 117
Dhana Ya Kijiji Katika Mtazamo Wa Mwalimu Nyerere………………………………….. 121
Je, Chaguo La Wananchi Ni Lipi: Vyama Na Viongozi Au Uhai Na Kifo?……………… 129
Kusimamishwa Kwa Zitto Kabwe Bungeni: Je Ni Tukio La Kawaida Au Ni Risala Ya Maombolezo? 130
Tafakuri Juu Ya Matatizo Ya Muungano……………………………………………………….. 135
Maoni Juu Ya Mpasuko Wa Kisiasa Zanzibar………………………………………………… 143
Mkanganyiko Kuhusu Zanzibar Si Nchi………………………………………………………… 146
Madai Ya Katiba Mpya: Unyonge Wa Katiba Au Katiba Ya Wanyonge?…………… 150
SEHEMU YA TATU
UBEPARI, UJAMAA NA UFISADI
Edward Moringe Sokoine: Fikra Zake Juu Ya Maendeleo……………………………….. 160
Mtazamo Wa Mwalimu Juu Ya Ujamaa, Ubepari Na Ufisadi…………………………….. 166
Mwaka Mmoja Wa Uongozi Wa Rais Kikwete: Mwanzo Mbaya……………………….. 173
Tathmini Ya Zama Za Baada Ya Mwalimu Nyerere………………………………………… 179
Maadhimisho Ya Tisa Ya Kifo Cha Mwalimu Nyerere……………………………………… 186
Miongozo Miwili Ya Chama Na Tabaka Lililopindua Ujamaa……………………………. 190
Tafakuri Ya Kina Juu Ya Azimio La Arusha. Je, Lina Nafasi Gani Katika Mjadala Wa Katiba Mpya? 195
Tafakuri Ya Miaka 50 Ya Uhuru…………………………………………………………………… 209
SEHEMU YA NNE
FALSAFA YA MWALIMU NYERERE NA USONONI WA WASOMI
Tukijua Tunakoenda, Tutafika: Mapitio Ya Kitabu……………………………………….. 219
Naililia Nchi Yangu Kipenzi!…………………………………………………………………………. 224
Ualimu Wa Mwalimu Nyerere………………………………………………………………………. 228
Barua Ya Wazi Kwa Marais Kikwete, Kagame Na Kaguta Juu Ya Hali Ya Wakenya 232
Barua Ya Wazi Kwa Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu………………….. 235
Barua Ya Wazi Kwa Mheshimiwa Rais Karume Na Maalim Seif………………………. 238
Haya Ni Mahindi, Sio Makana………………………………………………………………………. 241
Usononi Wa Makwaia Wa Kuhenga……………………………………………………………… 246
Msomi Wa Umma Utangulizi Wa Kitabu Cha Maandishi Ya Chachage…………….. 253
Marejeo……………………………………………………………………………………………………… 258
AZIMIO LA ARUSHA…………………………………………………………………………………….. 260
KITAZINDULIWA 12-13 APRILI KWENYE TAMASHA LA MWALIMU NYERERE KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ( https://udadisi.com/2012/03/4th-julius-nyerere-intellectual.html) NA GHARAMA ZAKE NI:
BEI YA KAWAIDA: T.Shs. 18,000/=
NAKALA MOJA WAKATI NA KABLA YA UZINDUZI: T.Shs. 15,000/=
NAKALA NYINGI (20 + ZAIDI): T.Shs.13,500/=
MCHAPISHAJI: TATAKI (TAASISI YA STADI ZA KISWAHILI, UDSM)