Clara Herrero, Anna Oloshuro Kalaita na Mwanahamisi Salimu – Wanaoxfam na Mama Shujaa wa Chakula baada ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake.

Mdau wa Blogu ya Udadisi Afurahia kukutana na Wanaharakati wa Haki za Ardhi na Uzalishaji wa Chakula Kupitia Vuguvugu la Grow leo alasiri.

Kwa taarifa zaidi kuhusu Mama Shujaa wa Chakula tembelea linki hii:

https://udadisi.com/2011/10/mama-shujaa-wa-chakula-female-food.html