Hoja za Profesa Abdul Sheriff kuhusu Muungano huwa zinaibua tafakuri tunduizi. Sasa kaja na hii taswira ya mizanihapo juu. Soma kuhusu mizania hiyo hapa: http://zanzibaryetu.wordpress.com/2012/03/11/zanzibar-yasidiwa-uzito-na-tanganyika/. Pia soma hili jibu lake kwa Profesa Tibaijuka: http://www.mzalendo.net/habari/jibu-kwa-prof-tibaijuka-kutoka-kwa-prof-abdul-sherif. Na pitia hiyo sura yake kuhusu Katiba na Masuala ya Muungano iliyopo katika kitabu hiki: http://www.kituochakatiba.org/index2.php?option=com_docman&task=doc_view&gid=1192&Itemid=36