“Napenda kuwafahamisha kuwa filamu fupi niliyotengeneza kwa kushirikiana na mtengeneza filamu kutoka nchini India Runjiv Kapur juu ya maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi, Colorless imeshinda tuzo ya filamu ya makala bora ya mwaka kweye tamasha la filamu la Chashama lililofanyika juzi jijini New York. http://www.chafilmfest.com/2011/2011_lb.html” – Erick Kabendera
Tazama Kipande cha Filamu Hiyo Hapa:
http://www.chafilmfest.com/2011/films/colorless.html