Taifa limempoteza mwanazuoni mahiri aliyebobea katika Sayansi ya Siasa, Profesa Samuel Stephen Mushi. Video iliyoambatanishwa hapo chini ndio wosia wake wa mwisho kwa Watanzania. Tuutafakari na kuchukua hatua. Mungu na aifariji familia yake na wote walioguswa na msiba huu katika kipindi hiki kigumu. Amen.

http://www.youtube.com/watch?v=-6vQOE0srNs&feature=player_embedded

Rejea:

https://udadisi.com/2011/07/professor-samuel-stephen-mushi-afariki.html