Access the reportco-authored by Chambi Chachage and Richard Mbunda through the link below:
http://hakiardhi.org/HakiArdhi/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=75&Itemid=80
2 Comments
Comments are closed.

Mkuu nashukuru kwa taarifa nzuri yenye vielelezo wazi na kueleweka. Hapa nashauri iwepo haja hata ya machapisho haya kutolewa kwa lugha ya kiswahili ili jamii nayo ishiriki na kupata uelewa. Yapo mambo mengi ambayo viongozi wetu wametumia mwanya wa lugha ya kiingereza kuwalaghai wananchi. Jamii ikiweza kufahamu tulipo tulipotoka na tunakoelekea itakuwa ni changamoto kubwa kwa uongozi ili kuboresha utendaji.
Naam,huwa kuna jitihada za kutafsiri hizi ripoti kwa Kiswahili ila bado tuna safari ndefu – tujitahidi kuongeza nguvu zaidi kushinikiza zitafsiriwe na mashirika husika na sisi tujitolee pia kuzitafsiri kwa lugha rahisi!