Huu mfululizo wa video ya somo pamoja na maswali na majibu kuhusu ugonjwa uletwao na virusi vya #corona ujulikanao kama #COVID-19, masomo na mijadala hii hufanyika mubashara kila mwisho wa wiki kupitia Zoom na kuratibiwa na Dokta Frank Minja, Rais ya Jumuiya wa Wanadiaspora Watanzania (DICOTA) na Profesa wa Chuo Kikuu cha Yale.
#CoronaTanzania #COVID19Tanzania #CoronaVirus #VirusiVyaCorona #DhibitiMlipuko #JitengeKijamii #FlattenTheCurve #SocialDistancing