
Mwanablogu wa Udadisi jana alikutana na umati mkubwa uliomsindikiza Mgombea wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi. Swali alilobaki nalo Mdadisi kichwani ni: Je, Tanzania Bila CCM = Tanzania bila UMASKINI?