TukioMbongi/Baraza/Mdahalo wa Pili wa Makamu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam (UDSM)
MadaZahama za Chakula na Mafuta
Mchokoza Mada
Jenerali Ulimwengu – Raia Mwema
Wachochea Mada
Prof. Haji Semboja – Taasisi ya Utafiti wa Uchumi, UDSM
Prof. Aida Isinika –Oxfam/Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)
Bi. Siham Ahmed –Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA)
Dk. Khoti Kamanga –Kitivo cha Sheria, UDSMDk. Adolf Mkenda –Idara ya Uchumi, UDSMDk. Ng’wanza Kamata –Idara ya Sayansi ya Siasa, UDSMWashiriki
Wananchi na Wageni Wanakaribishwa
MahaliUkumbi wa Nkrumah – UDSMTarehe
Ijumaa, 10 Oktoba 2008
Muda
Saa 10 Alasiri – Saa 12 Jioni
MwandaajiProfesa wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere cha Utafiti wa Kiumajumui wa Afrika