Je, tunaweza kupima, kupanga & kuishi na VVU bila kuwa na UKIMWI?
Je, tunaweza kuwa na Tanzania bila MARADHI kabla ya kuwa na Tanzania bila UMASKINI na UJINGA?

Je, tunaweza kupima, kupanga & kuishi na VVU bila kuwa na UKIMWI?
Je, tunaweza kuwa na Tanzania bila MARADHI kabla ya kuwa na Tanzania bila UMASKINI na UJINGA?
Comments are closed.
Chambi,
Kila kitu kinawezekana kwa kutimiza wajibu.Hata Mwalimu alisema ‘It can be done, play your part’ Naamisha ni vyema kupunguza siasa katika utekelezaji wa mambo muhimu katika mustakabali wa taifa letu.
Ukiangalaia kwa undani siasa imevuruga nchi hii kwa kiasi kikubwa badala ya kujenga