Mwanahistoria na Mwanabiografia Mohamed Said ambaye alifahamiana na Bibi Titi Mohamed akitoa maelezo kuhusu jina la Bibi Titi kuweka rekodi sawa kufuatia upotoshaji na udhalilishaji wa Deutsche Welle (DW) kuhusu asili ya jina hilo katika tovuti yao: https://www.dw.com/en/bibi-titi-mohamed-tanzanias-mother-of-the-nation/av-54382793

Pia unaweza kufuatilia majojiano yake ya hivi karibuni kuhusu Bibi Titi hapa: https://www.youtube.com/watch?v=j2_JpqAXeBs

Rejea: https://twitter.com/dodecagon/status/1296440099253755905?s=20

Linganisha: https://twitter.com/Udadisi/status/1296172128883167236