
Applications (Apps) kwenye simu na kompyuta zinatusaidia kutimiza malengo tofauti. Zipo za aina nyingi zinazorahisisha maisha na kazi zetu. Siku chache zilizopita tulikuwa na maongezi katika club ya UDADISI kwenye Clubhouse kuhusu baadhi tu ya Apps zinazotusaidia kufanya vitu mbalimbali.
Hii hapo chini ni orodha ya zile zilizotajwa. Baadhi ya Apps hizo zinapatikana kwenye Google Play Store (Android) na zingine zinapatikana kwenye App Store (Apple/IOS). Pia zipo zinazopatikana kote, yaani Play Store na App Store, au kwenye tovuti ama programu kama Microsoft n.k.
- Adidas Running App
- Adobe Illustrator Draw
- Adobe Lightroom
- Adobe Photoshop
- Adobe Premiere
- Adobe Scan
- After Effects
- Airtel
- All-In-One Calculator
- AnyDesk Remote Control
- Apple Music
- Apple Pay
- Apple Wallet
- AppLock
- Audible
- Authenticator
- AZ Screen Recorder
- Blinkist
- Camera Plus
- Camscanner
- Canva
- Capcut
- Catch Up
- CatCut
- ClickUp
- Clubdeck
- Clubhouse+
- ColorZilla
- Copy.AI
- Cortana
- CountThings
- CS Scanner
- Deezer
- Duplicate File Finder
- Easy Beam
- Easy Recorder
- Evernote
- Excel Spreadsheet
- Expense Manager
- FaceApp
- Facebook Business Suite
- Family Time
- Figma Mirror
- FlixHQ
- FOCOS
- Freelancer
- GePG Tanzania
- Google Lens
- Google Maps
- Google One
- Google Photos
- Goojara.to
- Grammarly
- GuitarTuna
- Haveibeenpwned
- HuraWatch
- Keep Notes
- Legend
- Library Genesis
- Lid
- Lifespan
- MacroDroid
- Measure
- Medscape
- Mendeley
- Miamala
- Microsoft Lens
- MileIQ
- Mind Map
- Mipango
- Mojo
- NALA
- NewPipe
- Notion
- Otter
- Parallel Space
- Peel Remote
- PeoplePerHour
- Photoleap
- PhotoPea
- PhotoRoom
- PhotoVault
- Pixelcut
- Pocketbook
- Primer
- PRO CAMERA
- Rapchat
- Remove.bg
- RescueTime
- Retrica
- ScreenView
- Shazam
- Slack
- Snapseed
- Soccer
- Speech to Text: Microsoft Word + Google Search + etc.
- Spotify
- Strava
- StreamView
- TED
- Telegram
- Telegram: allsaverbot; ttsaverbot; spotifysaverbot; vkmusicbot etc.
- Text to Speech: Microsoft Word + Google Search + etc.
- TRA
- Trello
- Universal Copy
- Videoleap
- Videoshow
- WHO e-Pocketbook
- WPS
- YCombinator
- YMusic
- Zoom
Ongeza majina/linki za Apps unazozitumia tafadhali kwenye sehemu ya ‘comments’ hapo chini.
Hatimiliki
*Picha iliyotumika imetoka kwenye mtandao wa picha huria wa pixabay.
Ni kitu kizuri sana kuonesha hizi app zinazosaidia katika maisha ya kila siku. Ningeshauri kupatikana kwa maelezo kwa ufupi kwa kila App ili mtu uweze kujua ipi inakufaa kwa maan ya kwamba ni ngum sana mtu kujua App fulani inafanya kazi fulani meanwhile nd kwanza ameiona. Shukran.
Kweli, hata kuzigawa kwenye makundi yanayoonyesha matumizi ingesaidia.