Faradhi ya Moyo
"Faradhi ya Moyo ni riwaya iliyojaa visa na taharuki, ikimulika maisha ya Wasila na Zaina, mapacha wanaojumuika tena baada ya kutengana kwa kitambo kirefu. Kwa ufundi wake, ndani ya riwaya hii Anna amesawiri vyema huba, majonzi na tumaini jipya" - Mchapishaji