Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi
"Nahimiza kitabu hiki kisambazwe na kusomwa hasa na vizazi vya sasa na vijavyo ili kutambua mchango wa wanawake katika harakati za kupigania haki pamoja na kuhamasisha watoto wote wa kike wawe mstari wa mbele kwenye kila nyanja ya maendeleo yetu" - Jakaya Mrisho Kikwete.