Books2021-05-30T07:42:00+03:00

Mzee Rukhsa

"Kitabu hichi kinaitwa Mzee Rukhsa.Haikuwa rahisi jina hili kukubalika ndani ya familia yangu.Wapo walioona kutumia jina hili ni kufanya mzaha kwenye jambo kubwa la kihistoria.Hatimaye baada ya majadiliano waliniruhusu kulitumia maana hakuna neno moja tu peke yake linalowakilisha ipasavyo mabadiliko...." - Hotuba ya Rais Mwinyi katika Uzinduzi, 8 Mei 2021

Go to Top