African Motors: Technology, Gender, and the History of Development
"In African Motors, Joshua Grace examines how Tanzanian drivers, mechanics, and passengers reconstituted the automobile into a uniquely African form between the late 1800s and the early 2000s" - The Publisher
Jinsi Ya Kurudi Nyumbani
Kwa Jasmine Mainda-Rose Na kila mwanamke asomaye Hii ikawe dira ya kuipata Kaskazini yako - Mwandishi
Jai the Albino Cow – Jai Ng’ombe Zeruzeru
"Jai suffers from albinism. Other cows thought she was cursed. One day, Jai shocked other cows for doing something that no other cow did before/Jai alikuwa ni zeruzeru. Ngombe wengine walifikiri ana laana. Siku moja aliwashangaza ngombe wenzie kwa kufanya kitu kwa mara ya kwanza"-Blurb/Dondoo
Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi
"Nahimiza kitabu hiki kisambazwe na kusomwa hasa na vizazi vya sasa na vijavyo ili kutambua mchango wa wanawake katika harakati za kupigania haki pamoja na kuhamasisha watoto wote wa kike wawe mstari wa mbele kwenye kila nyanja ya maendeleo yetu" - Jakaya Mrisho Kikwete.
Regulatory Challenges In Africa
"Professor Mark Mwandosya...explains the rationale for, and objectives of, regulation in several economic sectors and addresses the policy, legal and institutional arrangements and mechanisms normally employed as well as the advantages and pitfalls of alternative approaches" - Blurb
Wavujajasho Dhidi ya Soko Huria
"Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala zinazoweza kugawanywa katika makundi mawili kulingana na nafasi ya kitabaka ya waandishi. Kundi la kwanza ni makala za wavujajasho na kundi la pili ni makala za wasomi" - Mhariri
Prosperity in Rural Africa?
"Our book...is finally out and freely available...It brings new insights into the discussions about development in Tanzania and Africa. Uwezo (wealth) for rural folks rest on investment in assets" - Co-Editor
Chickens in the Bus: More Thoughts on Cultural Differences
"For years, readers of my earlier book, "Africans and Americans: Embracing Cultural Differences," have been asking me if I was writing a sequel. Indeed, for about fifteen years, I have been doing that, and today, the book came out" - Author