Nasikitika kutangaza kifo cha mwenzetu, Bernadeta Minja <https://www.facebook.com/bernadeta.minja>, kwa mujibu wa taarifa hiyo hapo chini. Alikuwa ndio anachipukia katika fani ya uchumi. Daima tutamkumbuka kwa kusambaza kicheko na furaha kwa kila aliyekutana naye. Tupambane na hili janga la kitaifa la ajali za barabarani linalotuongezea ‘makovu ya maisha’!
http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/18457
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/411884-msiba-udom.html