Hiki ni kipande kutoka kwenye video ya mjadala uliofanyika Jumamosi ya Tarehe 2 Mwezi Mei na kuratibiwa na Dakta Frank Minja, hapa Dokta Elisha Osati, daktari wa masuala ya mapafu na mfumo wa upumuaji akiongelea suala la kujifukiza ama kupiga nyungu katika zama hizi za gonjwa la korona.