My good people


Filamu yangu ya pili katika mfululizo wa utengenezaji filamu huru, inayoitwa CHUNGU imeingia katika Tamasha la Filamu la Nchi za Majahazi ZIFF 2012. Filamu ya CHUNGU itaoneshwa kwa mara ya kwanza (World Premiere) katika ukumbi wa Ngome Kongwe, Zanzibar siku ya Jumamosi tarehe 14.07.2012.


Punde itapatikana katika DVD, online www.wabona.com na kwenye ving’amuzi

My sincere thanks to the members of the crew and all actors


vicensia


http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/15603