Na Sabatho Nyamsenda (@Sabatho7)

Heko dadangu Zuu,
Mwandishi wa juzuu,
Ya mpambani mkubwa,
Mzanziba Biubwa.

Tukisome kwa tuo,
Kitupe ufunguo,
Wa sitori fichwama,
Ya wajasiri wamama.

Comments Off on Heko Zuhura