Ujumbe katika bango hili la kampeni dhidi UKIMWI unanikumbusha riwaya ya ‘Is it Possible?’

Je, tunaweza kupima, kupanga & kuishi na VVU bila kuwa na UKIMWI?

Je, tunaweza kuwa na Tanzania bila MARADHI kabla ya kuwa na Tanzania bila UMASKINI na UJINGA?