
“I will make sure that the project to link Mtwara and Mwanza with a tarmac road is completed by December next year. Rich people driving saloon cars would be able to drive from Mtwara to Mwanza on a smooth road [Tafsiri: Nitahakikisha kuwa mradi wa kujenga barabara ya lami itakayounganisha Mtwara na Mwanza inakamilika Disemba mwaka ujao. Matajiri watakaokuwa wanaendesha magari madogo wataweza kuendesha kutoka Mtwara mpaka Mwanza kwenye barabara nzuri]” – JK
Ahadi zote ni deni, zaidi sana hizi za JK ambazo zilitolewa kwa gharama ya kura kwa hiyo kwa sababu alipewa kura, zikatosha, anapaswa kudaiwa kutimiza ahadi zake.