“Mkurugenzi wa Kampuni ya REDore Mining mwenye asili ya Asia Chaoxian Zhou amehukumiwa kwenda jela miaka minne au kulipa faini jumla ya Shilingi 1,350,000/= kwa kukutwa na makosa mbalimbali likiwemo la kuchimba madini ndani ya hifadhi ya Pori la Akiba la Lwafi wilayani Nkasi kinyume cha sheria” – http://www.hakingowi.com/2012/09/mchina-mbaroni-kwa-kuchimba-madini.html?utm_source=feedburner&utm_medium=twitter&utm_campaign=Feed%3A+hakingowi+%28Haki+Ngowi+-+Food++For+Thought%29