Hiki ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye mjadala ulioratibiwa mtandaoni na Dokta Frank Minja tarehe 14 Machi 2020 na kinazungumzia jinsi gani hata ukiwa na hospitali nzuri na vitanda vingi vya kulaza wagonjwa wa virusi vya #Corona bado unahitaji ‘Mbinu ya Kuzuia au Kupunguza Wimbi la Msongamano wa Wagonjwa Wengi kwa Mkupuo wenye Virusi vya Corona’ ijulikanayo kwa Kiingereza kama ‘Flatten the Curve’ au ‘Flattening the Curve.’ 

Kipande cha video kinachofuatia baada ya hicho kinachozungumiza hiyo mbinu kwa ufupi kinapatikana hapa: https://www.youtube.com/watch?v=CqeGhpW8mzY&t=2s

Video ya mjadala mzima inapatikana hapa:

https://www.youtube.com/watch?v=5km_yR8q7Kg