Hii ni video ya mjadala uliofanyika tarehe 4 Aprili 2020 kuhusu ugonjwa wa COVID-19 usababishwao na virusi vya #corona na kuhusisha jopo hili hapa la madaktari na manesi wa Kitanzania walio mstari wa mbele kupambana na gonjwa hilo:
Dokta Ndema Habib, MSc (Biostatistics), PhD – Geneva, Switzerland
Dokta Mohamed Salim, MD, MSc, MSc (Public Health, Substance Abuse) – London, UK
Dokta Karima Khalid, MD, MMed (Anaesthesia and Critical Care) – MOI/MUHAS, Dar es Salaam, Tanzania
DoktaHarrieth Gabone-Mwalupindi, PhD, MSN, RNC (Obstetrics) – Florida, USA
Kissah Mwakalinga, BSN (Nursing Science), MSN (Nursing Informatics), CCRN (Critical Care) – New York, USA]
Mratibu: Dokta Frank Minja, Connecticut, USA
#CoronaTanzania #COVID19Tanzania #CoronaVirus #KirusiChaCorona