KURA ZA URAIS:
CHADEMA: 108+128+119+85+94 = 534
CCM: 88+70+58+80+77 = 373
KURA ZA UBUNGE:
CHADEMA: 135+134+126+99+111 = 605
CCM: 58+58+45+63+51 = 275
KURA ZA UDIWANI:
CHADEMA: 109+108+115+86+88 = 506
CCM: 80+70+54+71+68 = 343
*KITUO CHA SINZA A (NICE) OFISI YA KITONGOJI
Wewe kweli umehakikisha unafuatilia AtoZ yaani mwanzo-mwisho kura yako na yaliyotukia baadaye.
Asante sana Chambi.
Nafurahi kusoma mrejesho kama hivi.
Mungu ibariki Tanzania, wabariki Watanzania!
Shukrani kwa kubandika matokeo haya. Ingetakiwa vituo vyote vifanye hivyo, wakati huu. Hii itasaidia sana kuzuia masuali na mizengwe.
Demokrasia hiyoooo!!! Ni kama wanavyosema wenyewe "hakuna kulala mpaka kieleweke"
Asante kwa matokeo ya haraka!
Aksante sana kaka Chambi.
Nimefurahishwa sana na kazi yako. Mungu aendelee kulinda shughuli zetu hapo nyumbani.
Tuendelee kutuhabarisha
Sulle
Na kweli ndugu Masangu! hakuna kulala mpaka kieleweke!!excitement!!
Kazi kweli kweli..Nguvu ya umma hiyo..Safi sana CC…
Chambi – this is good. I fail to understand the basis for delaying announcing matokea.
This creates room for wizi wa KURA – period! Naona ndio kunaitwa kuchakachua sijui!
CHADEMA has done brilliantly well!
Solid foundation and excellent start for the march to real democracy.
ONE GIANT STEP FOR DEMOCRACY IN TANZANIA