Ahsante Esther kwa ku-share mazungumzo yako na Bwana Shafi. Ndoto yangu kubwa ni kuandika hadithi na kuzitafsiri kwa lugha mbalimbali. Ipo siku!
Swala la utaifa/uraia ni muhimu kwa jamii yetu kulijadili kwa upana ili kujifunza kupitia historia na kuepuka kurudia makosa. Wapo baadhi ya watu waliokimbia nchi zao sio kwa kupenda lakini pia wanaapa kamwe hawatarudi kutokana na ukatili waliotendewa au wanaotegemea kutendewa iwapi watarudi nyumbani kwao. Hivyo ni jambo la kushukuru kwamba Abdulrazak anajivunia utaifa wake. We should never take it for granted.
Siku manguli hawa wawili watakapokutana, naamini utakuwepo kuwahoji na kutuhabarisha yaliyojiri.