Wanamdahalo na Modereta:
Richard Mabala, Elizabeth Missokia, Nyanda Shuli, Elieshi Lema, Suzanne Mbise na William Chipeta
Waandaaji wakifuatilia kwa makini:
Hobokela Magale wa BSAT na Demere Kitunga wa Mkahawa wa Vitabu Soma (Soma Book Cafe)
Wanazuoni na Wanabidii tuliwakilishwa:
Masozi Nyirenda, Adam Lingson & Yona Fares Maro
Ayub Rioba akiendeleza utamaduni wa kusoma
Mgeni Rasmi, Marystella Maufi Wassenge kutoka Wizara ya Elimu, akilisemea suala la kufuta ujinga – kulia ni Walter Bgoya wa Mkuki na Nyota, kushoto ni Hobokela Magale wa BSAT
Elimu na Kufuta Ujinga kwa njia ya sanaa
Muziki Rafiki (wa Elimu):
Joseph Payne akiimba na kucharaza nyuzi za gitaa
Rage akighani kuhusu uhuru na ukombozi
Vitabu vilivyokwishatumika vikiuzwa kwa ajili ya kutunisha Mfuko wa Kampeni ya Kufuta Ujinga
Mgeni rasmi katika duka la vitabu Mkahawani Soma
Washiriki wakiingia Mkahawani Soma
Mandhari ya Mkahawa wa Vitabu Soma
Wadau wa ‘Chipuza Afrika’ (Blooming Afrika) wakijipanga mdahaloni
Kusoma ni popote – hata chini ya mwembe au mnazi
Kusoma kwa furaha huendani na kulegeza makoo na kutuliza matumbo
Kizazi kipya kimedhamiria kuutokomeza ujinga kwa vitendo
Nyuma ya pazia – Rehema Chachage na wadau wakifanya maandalizi















