*Changamoto za Mahusiano katika Familia na Jamii: Janga la COVID-19*
Habari TZ Diaspora na Nyumbani:
Karibuni Jumamosi hii Mei 9, 2020
Kujiunga sajili hapa: https://bit.ly/2Ac3JGJ
Saa 11 jioni Afrika Mashariki
10am EST/ 9am CST/ 7am PST/ 3pm UK
DICOTA na TUHEDA, tutaendelea na majadiliano yetu kuhusu janga la Covid-19:
Dr. Donald Mlewa (CPsychol) – Wales, UK
Mr. Isaac Lema (Clinical Pyschologist) – Dar es Salaam, Tanzania
Dr. Lusajo Kajula, PhD (Psychology) – Dar es Salaam, Tanzania
#DhibitiMlipuko Campaign Updates – Zawadi Sakapalla-Ukondwa, MBA
Moderator: Dr. Frank Minja – Connecticut, USA
==
Karibuni sana
🙏🙏