Siku/Tarehe: Alhamisi,19 Novemba 2020
 
Muda: Saa Moja Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki (07:00PM East African Time)
 
 
Kitambulisho: 99826143648
 
Wachokoza Mada:
 
Chambi Chachage @Udadisi (Hotuba ya Rais)
 
Thabit Jacob @ThabitSenior (Baraza la Mawaziri)
 
Anna Henga @HengaAnna (Katiba ya Nchi)
 
Tina Mfanga @ChristinaMfanga (Hatma ya Tanzania)
 
Daniel Ominde @IamOminde (Mtazamo kutoka Kenya)
 
Soraya Aziz @SORAZIZ (Mtazamo kutoka DRC)
 

Zein Abubakar @WatchTanzania (Mtazamo kutoka TEW) 

 
Mratibu/Modereta:
 

Sammy Awami @awamisammy