Habari TZ Diaspora na Nyumbani: 

Karibuni Jumamosi hii tarehe 21 Machi, 2020
11am EST/ 10am CST/ 8am PST/ 6pm EAT /Saa 12 jioni Afrika Mashariki, Japan 6 usiku, UK 3pm, Norway, Italy, Sweden, Denmark, Spain 4pm, Dubai 7pm, China 11pm, South Africa 5pm, New Delhi, India 9:30 pm.

DICOTA itaendeleza majadiliano na kujibu maswali ya jamii yetu kuhusu
virusi vya corona/Janga la COVID-19. 

Kujiunga boyfa hapa: zoom.us/j/2716710258 

Leteni maswali yenu, tuendelee kuwekana sawa na salama.

Karibuni sana
🙏🙏

– Dokta Frank Minja