“Mwanasheria Mkuu wa Zamani, Andrew Chenge (Kushoto), akitoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Jijini Dar es Salaam baada ya kesi yake ya kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha vifo vya watu wawili kuahirishwa jana. Kulia ni Mazifa Kambi, mama mzazi wa marehemu, Vicky George aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo. Picha na Zacharia Osanga”.
Labda ni macho yangu au mpiga picha alikosea ila tofauti inayoonekana kwenye sura za ‘Mtuhumu’ na ‘Mtuhimiwa’ inasikitisha sana!
na mimi nilioona. ikanipa taabu. nikajisumbua kuichunguza. nikagundua hiyo ya chenge imepandikizwa kwa hiyo nyingine ili kupeleka 'ujumbe' fulani. take trouble kuichunguza vema.
na mimi nilioona. ikanipa taabu. nikajisumbua kuichunguza. nikagundua hiyo ya chenge imepandikizwa kwa hiyo nyingine ili kupeleka 'ujumbe' fulani. take trouble kuichunguza vema.