Profiling Tanzania’s Scholars in the Diaspora – 4

Full Name:
Frank Minja
Selected Text:
Neuroradiology of AIDS
Linked Profile:
http://radiology.yale.edu/people/frank_minja.profile
Chambi Chachage2021-05-28T02:33:51+03:00
Assistant Professor and founder of @Udadisi/Profesa Msaidizi na Muasisi wa @Udadisi - https://udadisi.com/chambi-chachage/
Akaunti ya Twita/Twitter Handle: @ChambiChachage
Tuna Watanzania wasomi sana huko nje. Mimi ningekuwa rais badala ya kununua mashangingi ya wabunge na maofisa wa serikali ningeanzisha programu ya kuwavutia wasomi kama hawa kurudi nyumbani; na programu hii ingefadhiliwa na pesa zinazorudishwa na mafisadi (ningewabana mpaka wazirudishe). Ukiwapa gari na nyumba wataalamu kama hawa na mishahara mizuri pamoja na mazingira mazuri ya kufanyia kazi basi wengi wanaweza kurudi. Vinginevyo wataendelea kubakia huko waliko na kutuacha tukilia eti hatuna wataalamu…
Mwalimu, naomba kuchokoza mjadala!
Nasikia mojawapo ya vitu wanavyotaka ni Uraia wa Nchi Mbili (Dual Citizenship).