“Katika mahojiano haya Prof. Shivji anaainisha mwelekeo wa Rais Magufuli, kwa kuchambua hotuba ya Rais kwa wafanyabiashara tarehe 3 Desemba 2015. Hoja ya Prof. Shivji ni kwamba mwelekeo wa Rais ni kuchukua hatua za awali za kujenga uchumi wa kitaifa (national economy), na katika mahojiano haya Prof. Shivji anachambua sifa na masharti ya uchumi wa aina hiyo” – http://www.checheafrika.org/prof-shivji-azungumza-na-azamtv-siku-50-za-rais-magufuli-na-ujenzi-wa-uchumi-wa-kitaifa/