SIGN “Stick to Africa’s Plans:
Open Letter to the G8 from African Civil Society” AT http://africasplansforg8.org/
KUTOKA KWA MDAU:
Wandugu, Lets shout out to G8!
G8 meeting unaanza kesho, Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa marais wengine walioitwa ku-sign “new alliance” inayotaka tufungue milango kwa wawekezaji wa kilimo na kuhalalisha uporaji wa ardhi, kama rafiki, mtanzania, mwafrika na mzalendo, tafadhali, fuata link hii na utoe maoni yako, kumsihi asikubali kufanya hiyo:
Stick to Africa’s Plans