Tofauti kubwa kati ya ripoti ya uchunguzi wa RICHMOND na ya ESCROW ni kuwa:
Ya kwanza ilitolewa na KAMATI TEULE ya BUNGE ambayo ilikuwa na MUDA mwingi sana na RASILIMALI nyingi mno za kufanya UCHUNGUZI uliohusisha hadi ZIARA za kwenda NCHI za MBALI kufuatilia KAMPUNI hiyo ILHALI hiyo ya pili imetolewa na KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ambayo ilikuwa na MUDA mfupi sana na RASILIMALI chache mno za kufanya UCHUNGUZI ambao ulihusisha kupitia/kuchambua/kuhakiki/kujumuisha TAARIFA za UCHUNGUZI wa CAG n.k. pamoja na kuwahoji wakuu wa TAKUKURU, TRA, CAG et al.
Kilicho muhimu sasa ni kuhakikisha haturudii makosa yaliyogusiwa hapa chini kuhusiana na MAAZIMIO ya BUNGE:

Tusirudie makosa kwenye maazimio ya #Escrow,tujikumbushe maazimio ya #Bunge kuhusu #Richmond ambayo hayakutekelezwa:http://mnyika.blogspot.com/2012/01/taarifa-ya-hoja-kuhusu-utekelezaji-wa.html …

Tujikumbushe maazimio ya Bunge kuhusu Richmond ambayo hayakutekelezwa ili tusirudie makosa kwenye maazimio ya Escrow: http://www.———–.co.tz/richmond_kufunga_mjadala_bunge ni_ni_kukejeli_umma …

Tatizo la #Tanzania ni #Waziri Mkuu? http://udadisi.blogspot.com/2014/11/tatizo-la-tanzania-ni-waziri-mkuu.html?spref=tw …