Unalikumbuka Baraza Hili la Mawaziri Vijana?
Chambi Chachage2021-05-28T02:33:56+03:00
Assistant Professor and founder of @Udadisi/Profesa Msaidizi na Muasisi wa @Udadisi - https://udadisi.com/chambi-chachage/
Akaunti ya Twita/Twitter Handle: @ChambiChachage
One thing stuck out to me..their ages..all young and able..whats ailing us now? why are we so enamored by the 1 or 2 under 35year olds we have…whilst it was indeed the norm in our first cabinet!?
Duh!!..hii imekaa vizuri, hata rangi ya hilo gazeti, kizamani zamani..hah!!
Kwa ninavyoona, hili la mawaziri kuwa na umri mdogo/ vijana linaweza kuwa pia lilichangiwa na kuwa, ni watu wachache walikuwa wasomi kipindi hicho. Sasa wale ambao walikuwa na elimu, regardless ya umri wao, walipewa ofisi.
However, siku hizi kuna tamaduni mpya, sio kwamba hakuna vijana wasomi wanaoweza kupewa wizara, lakini, hizo politics zake sasa. Sijui wazee wameng'ang'ani ili waendelee kuchuma, au wanaogopa kuachia ngazi kwa uoga wa kupelekwa mahakamani..hapo sasa
Ujana ni muhimu. Ila sio mwarobaini (panacea). Kama ungekuwa hivyo tusingekuwa na viongozi vijana walio mafisadi. Tunachohitaji ni siasa safi na uongozi bora – yaani uadilifu katika, na miiko ya, uongozi.
Kilichosaidia enzi hizo ilikuwa "upya" maana Afrika ndo ilikuwa imetokana na Wazungu kwahiyo ukiwa mwadilifu unaongoza. Leo mpaka ufikie ngazi hiyo iko kazi. Yabidi uruke, uzunguke, ukwepe, uteme, umeze, uviringane, uzugane kwanza na ufisadi ndo' ufike mlango wa kwanza. Baada ya hapo iko mingine kama saba, ishirini hivi…