——————————————————————————–

Where:Soma Book CafeMlingotini Closure, Off Reagent Street Off Chato Street, Mikocheni
When: Tuesday, 7 April 2009, 2 – 5 pm
Who:Wanazuoniand Friends of Wanazuoni
What:

1. Watching the Documentary ‘A Golden Opportunity? How Tanzania is Failing to Benefit from Gold Mining’2. Anticipating theMwalimu Nyerere Intellectual Festival Weekthrough co-organizing a Side Event
3. Reviewing the‘Makumbusho Declaration’and using it to chart a Way Forward

——————————————————————————–

Wapi:Mkahawa wa Vitabu SomaMzingo wa Mlingotini, Kando ya Barabara ya Reagent Kutoka ya Chato, Mikocheni
Lini: Jumanne 7 Aprili 2009, 8 Mchana/Alasiri – 11 Jioni
Nani:Wanazuonina Marafiki wa Wanazuoni
Nini:

1. Kutazama Filamu fupi ya‘Je, Ni Nafasi Adimu? Jinsi Gani Tanzania Haifadiki na Uchimbaji wa Dhahabu’2. Kujiandaa naJuma la Tafakuri ya Mwalimu Nyererekwa kuandaa Tukio la Pembeni
3. Kulipitia‘Azimio la Makumbusho’na kulitumia kutafakari nini kifanyike siku zijazo
——————————————————————————–
For more information contact/Kwa maelezo zaidi wasiliana na: Chambi Chachage – 0754771763/chambi78@yahoo.com
——————————————————————————–